• HABARI MPYA

    Friday, January 11, 2019

    MAN UNITED WAREJEA KUTOKA DUBAI KUIKABILI SPURS JUMAPILI

    Paul Pogba akiondoka Uwanja wa Ndege wa Manchester mara baada ya kuwasili wakitokea Dubai walipokwenda kuweka kambi fupi, tayari kwa mchezo wao ujao wa Ligi Kuu England dhidi ya Tottenham Jumapili Uwanja wa Wembley 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED WAREJEA KUTOKA DUBAI KUIKABILI SPURS JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top