• HABARI MPYA

  Monday, January 07, 2019

  MAN CITY YAICHAPA ROTHERHAM 7-0 KOMBE LA FA ENGLAND

  Raheem Sterling (kushoto) akishangilia na Kevin De Bruyne (kulia) baada ya wawili hao kushirikiana kuipatia Manchester City bao la kwanza katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Rotherham Jumapili kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City yamefungwa na Sterling dakika ya 12, Phil Foden dakika ya 43, Semi Ajayi aliyejifunga dakika ya 45 na ushei, Gabriel Jesus dakika ya 52, Riyad Mahrez dakika ya 73, Nicolas Otamendi dakika ya 78 na Leroy Sané dakika ya 85  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA ROTHERHAM 7-0 KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top