• HABARI MPYA

  Tuesday, January 08, 2019

  LIVERPOOL YATUPWA NJE MICHUANO YA KOMBE LA ENGLAND

  Kiungo wa Wolverhampton Wanderers, Ruben Neves akifumua shuti kutoka umbali wa mita 30 kumtungua kipa Simon Mignolet kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 55 ikiwachapa Liverpool 2-1 kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton. Bao la kwanza la Wolves lilifungwa na Raul Jimenez dakika ya 38, wakati la Liverpool inayotupwa nje ya michuanohiyo lilifungwa na Divock Origi dakika ya 51 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATUPWA NJE MICHUANO YA KOMBE LA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top