• HABARI MPYA

  Saturday, January 05, 2019

  IWOBI APIGA LA TATU ARSENAL YAICHAPA 3-0 BLACKPOOL

  Mshambuliaji Alex Iwobi akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 82 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Blackpool kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England leo Uwanja wa Bloomfield Road. Mabao mengine ya Arsenal yote yalifungwa na kinda Joe Willock dakika za 11 na 37 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IWOBI APIGA LA TATU ARSENAL YAICHAPA 3-0 BLACKPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top