• HABARI MPYA

    Saturday, January 05, 2019

    CHELSEA YAICHAPA NOTTINGHAM FOREST 2-0 KOMBE LA FA

    Mshambuliaji Alvaro Morata akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote dakika za 49 na 59 mara zote akimalizia pasi za Callum Hudson-Odoi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya  Nottingham Forest kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA NOTTINGHAM FOREST 2-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top