• HABARI MPYA

  Sunday, December 02, 2018

  RONALDO AFUNGA JUVE YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la tatu kwa penalti dakika ya 79 ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Fiorentina usiku wa jana Uwanja wa Artemio Franchi mjini Firenze katika mchezo wa Serie A. Mabao mengine ya Juventus inayoshinda mechi ya 13 kati ya 14 za ligi msimu huu, yalifungwa na Rodrigo Bentancur dakika ya 31 na Giorgio Chiellini dakika ya 69 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA JUVE YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top