• HABARI MPYA

    Sunday, December 02, 2018

    REAL MADRID YASHINDA 2-0 LA LIGA DHIDI YA VALENCIA BERNABEU

    Dani Carvajal (kushoto) akishangilia baada ya kusababisha Daniel Wass ajifunge dakika ya nane kuipatia Real Madrid bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili ya Real Madrid lilifungwa na Lucas Vázquez dakika ya 83 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YASHINDA 2-0 LA LIGA DHIDI YA VALENCIA BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top