• HABARI MPYA

  Wednesday, December 12, 2018

  MOURA AIPELEKA TOTTENHAM HOTSPUR 16 BORA LIGI YA MABINGWA

  Lucas Moura (katikati) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kusawazisha dakika ya 85 katika sare ya 1-1 na Barcelona kufuatia Ousmane Dembele kutangulia kuwafungia wageni dakika ya saba usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Kwa matokeo hayo, Spurs inamaliza na pointi nane nyuma ya Barcelona yenye pointi 14 na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora zikiipiku Inter Milan ambayo pia imemaliza na pointi na nane baada ya sare ya 1-1 pia na PSV inayomaliza na pointi mbili sasa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURA AIPELEKA TOTTENHAM HOTSPUR 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top