• HABARI MPYA

  Monday, December 10, 2018

  MESSI ALIKUWEPO BERNABEU JANA RIVER PLATE WAKIICHAPA BOCA

  Lionel Messi na Jordi Alba walivuka himaya ya wapinzani na kwenda kukaa kwenye boksi jukwaani Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania kushuhudia fainali ya pili ya Copa Libertadores kati ya River Plate na Boca Juniors za kwao, Argentina 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ALIKUWEPO BERNABEU JANA RIVER PLATE WAKIICHAPA BOCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top