• HABARI MPYA

    Wednesday, December 05, 2018

    MAHREZ, SANE WAFUNGA MAN CITY YAICHAPA WATFORD 2-1 VICARAGE

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage. Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Leroy Sane dakika ya 40, wakati bao la kufutia machozi la Watford lilifungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 85 
      
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAHREZ, SANE WAFUNGA MAN CITY YAICHAPA WATFORD 2-1 VICARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mwakasege Blog
    Scroll to Top