• HABARI MPYA

  Tuesday, December 04, 2018

  LUKA MODRIC AWAANGUSHA TENA MESSI NA RONALDO BALLON D'OR

  Kiungo wa Real Madrid na Croatia, Luka Modric akiwa ameshika tuzo yake ya Ballon d'Or baada ya kukabidhiwa jana kwenye ukumbi wa Grand Palais mjini Paris, Ufaransa kufuatia kuzima utawaka wa miaka 10 wa Lionel Messi aliyeshika nafasi ya tano na Cristiano Ronaldo aliyekuwa wa pili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKA MODRIC AWAANGUSHA TENA MESSI NA RONALDO BALLON D'OR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top