• HABARI MPYA

  Saturday, December 08, 2018

  JUVE YA RONALDO YAIPIGA INTER 1-0 NA KUWEKA REKODI MPYA ULAYA

  Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo akitabasamu huku akiwaonyesha alama ya dole gumba mashabiki baada ya mchezo wa mchezo wa Serie A dhidi ya mahasimu wao wa Italia, Inter Milan usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Turin. Juventus ilishinda 1-0, bao pekee la mshambauliaji wa kimataifa wa Croatia, Mario Mandzukic dakika ya 66 na sasa inaongoza Serie A kwa pointi 11 zaidi ya Napoli wanaofuatia nafasi ya pili, ikifikisha mechi 15 za kucheza bila kupoteza — ikishinda 14 na sare moja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVE YA RONALDO YAIPIGA INTER 1-0 NA KUWEKA REKODI MPYA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top