• HABARI MPYA

    Thursday, December 06, 2018

    CHELSEA YACHAPWA 2-1 NA WOLVERHAMPTON WANDERERS ENGLAND

    Raul Jimenez akishangilia baada ya kuifungia Wolverhampton Wanderers bao la kwanza dakika ya 59 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Bao la pili la Wolves lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 63, wakati la Chelsea lilifungwa na Ruben Loftus-Cheek dakika ya 18 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YACHAPWA 2-1 NA WOLVERHAMPTON WANDERERS ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top