• HABARI MPYA

  Thursday, October 04, 2018

  WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA 'KAVU KAVU' LOS ANGELES

  Mabondia Deontay Wilder wa Marekani na Tyson Fury wa Uingereza wakitambiana Alfajiri ya leo katika mkutano na Waandishi wa Habari mjini Los Angeles kuelekea pambano lao la Desemba 1, mwaka huu ukumbi wa Staples Center mjini humo. Wawili hao walitaka kupigana baada ya kuudhiana kwa kauli, kabla ya kutenganishwa na walinzi waoPICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA 'KAVU KAVU' LOS ANGELES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top