• HABARI MPYA

    Wednesday, October 10, 2018

    WACHEZAJI TAIFA STARS KWENYE NDEGE KWA SAFARI YA PRAIA KUWAVAA CAPE VERDE IJUMAA

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa kwenye ndege leo asubuhi wakati wa safari ya kwenda Praia kwa ajili ya mchezo wa Kundi L kufuzu AFCON 2019 dhidi ya wenyeji, Cape Verde Ijumaa
    John Bocco akitafakari jambo wakati safari ya kwenda Praia leo
    Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa kwenye ndege leo kwa safari yaPraia 
    Taifa Stars itamenyana na wenyeji, Cape Verde Ijumaa mjini Praia
    Wachezaji wa Taifa Stars wanaonekana wapo tayari kwa mchezo huo wa Kundi L kufuzu AFCON 2019 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI TAIFA STARS KWENYE NDEGE KWA SAFARI YA PRAIA KUWAVAA CAPE VERDE IJUMAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top