• HABARI MPYA

  Sunday, October 14, 2018

  UHOLANZI YAIKOKOMEKA UJERUMANI 3-0 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

  Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 3-0 dhidi ua Ujerumani jana kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza michuano ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam jana. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Memphis Depay dakika ya 86 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UHOLANZI YAIKOKOMEKA UJERUMANI 3-0 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top