• HABARI MPYA

    Sunday, October 07, 2018

    MODRIC CHALI NA REAL MADRID YAKE, WAPIGWA 1-0 NA ALAVES LA LIGA

    Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA, Luca Modric akiwa chini analalamika wakati wa mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa de Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz dhidi ya wenyeji, Alaves walioshinda 1-0, bao pekee la Manu García dakika ya 90 na ushei hiyo ikiwa mechi ya nne wanacheza bila kushinda au kufunga japo bao 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MODRIC CHALI NA REAL MADRID YAKE, WAPIGWA 1-0 NA ALAVES LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top