• HABARI MPYA

    Monday, October 08, 2018

    MESSI TENA AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA

    Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 23 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Valencia kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Mestalla mjini Valencia, kufuatia Ezequiel Garay kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya pili tu 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI TENA AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top