• HABARI MPYA

  Thursday, October 04, 2018

  MESSI AFUNGA MAWILI BARCA YAIPIGA SPURS 4-2 WEMBLEY

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 56 na 90 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya pili na Ivan Rakitic dakika ya 28, wakati ya Spurs yamefungwa na Harry Kane dakika ya 52 na Erik Lamela dakika ya 66 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA MAWILI BARCA YAIPIGA SPURS 4-2 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top