• HABARI MPYA

  Friday, October 12, 2018

  MBAPPE AINUSURU UFARANSA KUPIGWA NYUMBANI NA ICELAND

  Mshambuliaji Kylian Mbappe akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Ufaransa bao la kusawazisha dakika ya 90 kwa penalti katika sare ya 2-2 na Iceland usiku wa jana Uwanja wa Roudourou mjini Guingamp kwenye mchezo wa kirafiki. Iceland ilitangulia kwa mabao ya Birkir Bjarnason dakika ya 30 na Kari Arnason dakika ya 58, kabla ya Holmar Orn Eyjolfsson kujifunga kuipatia bao la kwanza Ufaransa dakika ya 86 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE AINUSURU UFARANSA KUPIGWA NYUMBANI NA ICELAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top