• HABARI MPYA

    Monday, October 08, 2018

    MBAPPE AFUNGA MABAO MANNE DAKIKA 13 PSG IKISHINDA 5-0 UFARANSA

    Kylian Mbappe akishangilia kwa furaha baada ya kufunga mabao manne ndani ya dakika 13, dakika za 61, 66, 69 na 74 katika ushindi wa 5-0 wa Paris St Germain dhidi ya Lyon kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Bao lingine la PSG limefungwa na Neymar dakika ya tisa kwa penalti 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBAPPE AFUNGA MABAO MANNE DAKIKA 13 PSG IKISHINDA 5-0 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top