• HABARI MPYA

  Thursday, October 11, 2018

  MBABE WA MCGREGOR, KHABIB AKARIBISHWA IKULU NA RAIS PUTIN

  Rais wa Urusi, Vladimir Putin (kushoto) akizungumza na bondia Khabib Nurmagomedov (kulia) na baba yake, Abdulmanap (katikati) alipowakaribisha ofisini kwake kuwapongeza kwa ushindi dhidi ya Conor McGregor kwenye pambano la UFC 229 Jumamosi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBABE WA MCGREGOR, KHABIB AKARIBISHWA IKULU NA RAIS PUTIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top