• HABARI MPYA

  Sunday, October 07, 2018

  MAHREZ AKOSA PENALTI YA USHINDI MAN CITY 0-0 NA LIVERPOOL

  Mshambuliaji Muagleria, Riyad Mahrez akijivuta kupiga penalti ambayo alikosa dakika ya 86 kufuatia beki wa Liverpool, Mholanzi Virgil Van Dijk kumuangusha Mjerumani Leroy Sane wa Manchester City timu hizo zikitoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAHREZ AKOSA PENALTI YA USHINDI MAN CITY 0-0 NA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top