• HABARI MPYA

  Saturday, October 13, 2018

  LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAIPIGA 2-1 USWISI LIGI YA ULAYA


  Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 58 na 84 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stade Roi Baudouin mjini Brussel. Bao pekee la Uswisi lilifungwa na Mario Gavranovic dakika ya 76 baada ya kuingia akitokea benchi dakika ya 69 kuchukua nafasi ya Haris Seferovic 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAIPIGA 2-1 USWISI LIGI YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top