• HABARI MPYA

  Sunday, October 07, 2018

  LACAZETTE, AUBAMEYANG WAPIGA 'MBILI MBILI' ARSENAL YAICHAPA FULHAM 5-1

  Washambuliaji Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang wakishangilia baada ya kila mmoja kuifungia Arsenal mabao mawili katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Craven Cottage mjini London. Lacazette alifunga dakika za 29 na 49 na Aubameyang dakika za 79 na 90, wakati bao la tatu la Arsenal limefungwa na Aaron Ramsey dakika ya 67 na la Fulham limefungwa na Andre Schurrle dakika ya 44 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE, AUBAMEYANG WAPIGA 'MBILI MBILI' ARSENAL YAICHAPA FULHAM 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top