• HABARI MPYA

    Sunday, October 07, 2018

    KHABIB AWATWANGA MCGREGOR NA MPAMBE NDANI NA NJE YA ULINGO

    Mrusi Khabib Nurmagomedov (kulia) akitembea kibabe baada ya kummaliza mpinzani wake, Conor McGregor katika raundi ya nne alfajiri ya leo kwenye pambano la ubingwa wa UFC 229 uzito wa Light. Nurmagomedov aliruka ulingo kwenda kupigana na rafiki wa McGregor, Dillon Danis. Na ulingoni mmoja wa wapambe wa Khabib akampiga kichwani McGregor na kuzua tafrani kubwa ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KHABIB AWATWANGA MCGREGOR NA MPAMBE NDANI NA NJE YA ULINGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top