• HABARI MPYA

    Saturday, October 06, 2018

    KANE ATAKA KUCHAPA MTU SPURS IKISHINDA 1-0 DHIDI YA CARDIFF

    Harry Kane akiwa amemshika kwa hasira Joe Ralls wa Cardiff City (katikati kulia) baada ya kumchezea rafu mchezaji mwenzake wa Tottenham Hotspur Lucas Moura (kushoto chini, namba 27) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Wembley mjini London.  Ralls alitolewa kwa kadi nyekundu na Spurs imeibuka na ushindi wa 1-0, bao pekee la Eric Dier dakika ya nane 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KANE ATAKA KUCHAPA MTU SPURS IKISHINDA 1-0 DHIDI YA CARDIFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top