• HABARI MPYA

    Saturday, October 13, 2018

    JESUS AFUNGA BRAZIL IKIICHAPA SAUDI ARABIA 2-0 RIYADH JANA

    Mshambuliaji Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya 43 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Saudi Arabia mapema jana Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mfalme wa Saud mjini Riyadh. Bao la pili lilifungwa na beki Alex Sandro dakika ya 90, wakati wenyeji walipata pigo baada ya kipa wao, Mohammed Al-Owais kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kunaswa na picha za marudio ya Video (VAR) akiushika mpira 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JESUS AFUNGA BRAZIL IKIICHAPA SAUDI ARABIA 2-0 RIYADH JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top