• HABARI MPYA

  Thursday, October 04, 2018

  INSIGNE AWAZIMA LIVERPOOL DAKIKA YA MWISHO NAPOLI 1-0

  Mshambuliaji wa Napoli, Lorenzo Insigne akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 90 ikiwalaza Liverpool 1-0 katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa San Paolo mjini Napoli, Italia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INSIGNE AWAZIMA LIVERPOOL DAKIKA YA MWISHO NAPOLI 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top