• HABARI MPYA

    Saturday, October 13, 2018

    ENGLAND YAAMBULIA SARE RIJEKA, 0-0 NA WENYEJI CROATIA

    Mshambuliaji wa England, Marcus Rashford akienda chini mbele ya kiungo wa Croatia, Mateo Kovacic baada ya kuchezewa rafu katika mchezo wa Kundi la 4 Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa HNK Rijeka mjini Rijeka uliomalizika kwa sare ya 0-0 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND YAAMBULIA SARE RIJEKA, 0-0 NA WENYEJI CROATIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top