• HABARI MPYA

  Friday, October 05, 2018

  CHELSEA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI EUROPA LEAGUE

  Winga Mbrazil, Willian (kushoto) akimpongeza Alvaro Morata baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 70 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya MOL Vidi kwenye mchezo wa Kundi L michuano ya Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Stamford Bridge, London. Willian ndiye aliyetoa pasi ya bao 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top