• HABARI MPYA

  Monday, October 08, 2018

  ATLETICO MADRID WABEBA MTOTO KABLA YA KUIPIGA REAL BETIS 1-0

  Wachezaji wa Atletico Madrid wakiwa wamembeba mtoto wa mchezaji mwenzao, Lucas Hernandez kabla ya mechi ya La Liga na Real Betis jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid ambao walishinda 1-0, bao pekee la Angel Correa dakika ya 74 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID WABEBA MTOTO KABLA YA KUIPIGA REAL BETIS 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top