• HABARI MPYA

    Friday, October 05, 2018

    ARSENAL YAWAPIGA 3-0 QARABAG MICHUANO YA EUROPA LEAGUE

    Matteo Guendouzi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 79 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Qarabag usiku wa Alhamisi Uwanja wa Taifa wa Baku. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Sokratis Papastathopoulos dakika ya nne na Emile Smith Rowe dakika ya 53 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAWAPIGA 3-0 QARABAG MICHUANO YA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top