• HABARI MPYA

  Tuesday, September 11, 2018

  URENO YAIBWAGA ITALIA 1-0 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

  Andre Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Ureno dakika ya 48 ikiilaza 1-0 Italia katika mchezo Kundi A Ligi ya Mataifa ya UEFA Uwanja wa Luz mjini Benfica usiku wa jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URENO YAIBWAGA ITALIA 1-0 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top