• HABARI MPYA

    Sunday, September 09, 2018

    STARS NA THE CRANES KATIKA PICHA JANA UWANJA WA MANDELA

    Beki wa Uganda, Hassan Wasswa Mawanda akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta katika mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Cameroon uliofanyika jana Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala, Uganda timu hizo zikitoka sare ya 0-0.          PICHA KWA HISANI YA FIFA
    Moses Waiswa wa Uganda akiondoka na mpira mbele ya beki wa Tanzania, Aggrey Morris
    Kikosi cha Tanzania katika mchezo wa jana 
    Kikosi cha Uganda katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS NA THE CRANES KATIKA PICHA JANA UWANJA WA MANDELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top