• HABARI MPYA

  Saturday, September 15, 2018

  SANE AFUNGA MANCHESTER CITY YAITANDIKA FULHAM 3-0

  Leroy Sane (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 21 na Raheem Sterling dakika ya 47 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANE AFUNGA MANCHESTER CITY YAITANDIKA FULHAM 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top