• HABARI MPYA

    Friday, September 14, 2018

    RONALDO YUKO FITI KUELEKEA MECHI YA NNE SERIE A JUVE

    Cristiano Ronaldo akipiga shuti wakati wa mazoezi ya Juventus jana mjini Turin kujiandaa mchezo wa Serie A dhidi ya Sassuolo kesho baada ya kucheza mechi tatu awali bila kufunga kufuatia kusajiliwa kwa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid miezi miwili iliyopita 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO YUKO FITI KUELEKEA MECHI YA NNE SERIE A JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top