• HABARI MPYA

    Wednesday, September 12, 2018

    RASHFORD AIFUNGIA ENGAND BAO PEKEE YAILAZA 1-0 USWISI

    Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee England dakika ya 54 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa King Power mjini Leicester hilo likiwa bao lake la tano kuifungia timu yake ya taifa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASHFORD AIFUNGIA ENGAND BAO PEKEE YAILAZA 1-0 USWISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top