• HABARI MPYA

  Friday, September 07, 2018

  PEPE AINUSURU URENO KUCHAPWA AKIICHEZEA MECHI YA 100

  Pepe akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la kusawazisha dakika ya 32 katika sare ya 1-1 na Croatia kwenye mchezo wa Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Do Algarve mjini Sao Joao da Venda, hilo likiwa bao lake la saba kuifungia timu yake hiyo ya taifa katika mechi ya 100 jana. Croatia ilitangulia kwa bao la Ivan Perisic dakika ya 18 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PEPE AINUSURU URENO KUCHAPWA AKIICHEZEA MECHI YA 100 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top