• HABARI MPYA

  Wednesday, September 19, 2018

  MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA YAITANDIKA PSV 4-0 CAMP NOU

  Lionel Messi akinyoosha kidole juu kushangilia baadsa ya kuifungia mabao matatu Barcelona dakika za 31, 77 na 87 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine la Barca limefungwa na Ousmane Dembele dakika ya 74. Barca ilimaliza pungufu baada ya Samuel Umtiti kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 79, kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA YAITANDIKA PSV 4-0 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top