• HABARI MPYA

  Monday, September 10, 2018

  MBAPPE AFUNGA UFARANSA YAIBANJUA UHOLANZI 2-1 PARIS

  Kinda wa miaka 19, Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Ufaransa dakika ya 14 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Uholanzi kwenye mchezo wa Ligi ya Mataifa ya UEFA uliofanyika Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Ryan Babel aliisawazishia Uholanzi dakika ya 67 kabla ya Olivier Giroud kuifungia la ushindi Ufaransa dakika ya 74 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE AFUNGA UFARANSA YAIBANJUA UHOLANZI 2-1 PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top