• HABARI MPYA

  Sunday, September 16, 2018

  MATUMLA ALIPOMPELEKEA MKANDA WA UBINGWA WA DUNIA RAIS KIKWETE 1999

  Bondia Rashid Matumla (katikati) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Jakaya Mrisho Kikwete (baadaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ofisini kwake mwaka 1999 baada ya kutwaa mkanda wa ubingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa uzito wa Light Middle kwa kumpiga Mtaliano, Paolo Pizzamiglio Juni 5, mwaka huo mjini Piacenza. Kushoto ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Makame Rashid  (sasa marehemu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATUMLA ALIPOMPELEKEA MKANDA WA UBINGWA WA DUNIA RAIS KIKWETE 1999 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top