Beki wa Ivory Coast, Eric Bailly anayechezea klabu ya Manchester United ya England (kushoto) akimfukuzia mshambuliaji wa Rwanda, Meddie Kagere katika mchezo wa Kundi H kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon uliofanyika Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali jana.
Ivory Coast ilishinda 2-1, bao la Rwanda likifungwa na Kagere wa Simba SC
Ivory Coast ilishinda 2-1, bao la Rwanda likifungwa na Kagere wa Simba SC
0 comments:
Post a Comment