• HABARI MPYA

  Saturday, September 15, 2018

  MAN UTD YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI UGENINI ENGLAND

  Chris Smalling akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 38 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford leo Uwanja wa Vicarage Road kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la United lilifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 35 wakati la Watford limefungwa na Andre Gray dakika ya 65 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UTD YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI UGENINI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top