• HABARI MPYA

    Thursday, September 20, 2018

    MAN CITY WADUNDWA PALE PALE ETIHAD NA LYON 2-1

    Mshambuliaji wa Lyon, Memphis Depay akijaribu kupiga shuti mbele ya beki wa Manchester City katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad.  Lyon ilishinda 2-1 jana, mabao yake yakifungwa na Maxwel Cornet dakika ya 26 na Nabil Fekir dakika ya 43 wakati la Man City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 67 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY WADUNDWA PALE PALE ETIHAD NA LYON 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top