• HABARI MPYA

  Saturday, September 08, 2018

  JORGINHO AINUSURU ITALIA KUPIGWA NYUMBANI NA POLAND

  Kiungo wa Italia, Jorginho akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha kwa penalti jana dakika ya 78 katika sare ya 1-1 na Poland, iliyotangulia kwa bao la Piotr Zielinski dakika ya tano tu mjini Bologna 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JORGINHO AINUSURU ITALIA KUPIGWA NYUMBANI NA POLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top