• HABARI MPYA

  Wednesday, September 19, 2018

  INTER MILAN YAIADHIBU TOTTENHAM HOTSPUR, YAIPIGA 2-1

  Mauro Icardi akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la kusawazisha dakika ya 85 kufuatia Christian Eriksen kuifungia Tottenham Hotspur dakika ya 53, kabla ya Matias Vecino kufunga la ushindi dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INTER MILAN YAIADHIBU TOTTENHAM HOTSPUR, YAIPIGA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top