• HABARI MPYA

  Monday, September 03, 2018

  HENDERSON ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MITANO LIVERPOOL

  Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson akisaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea timu hiyo leo. Kiungo huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na Liverpool mwaka 2011 akitokea Sunderland na hadi sasa amekwishacheza mechi 283 na kufunga mabao 24 na alipewa Unahodha baada ya kuondoka kwa Steven Gerrard  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HENDERSON ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MITANO LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top