• HABARI MPYA

  Saturday, September 15, 2018

  HAZARD APIGA HAT TRICK CHELSEA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 4-1

  Edin Hazard akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Chelsea dakika za 37, 44 na lingine kwa penalti dakika ya 80 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cardiff City leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Willian dakika ya 83 baada ya Cardiff kutangulia kwa bao la Souleymane Bamba dakika ya 16  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD APIGA HAT TRICK CHELSEA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top