• HABARI MPYA

  Saturday, September 08, 2018

  FIRMINO, NEYMAR WAFUNGA BRAZIL YAICHAPA MAREKANI 2-0

  Roberto Firmino na Neymar wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Brazil dhidi ya Marekani kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa kuamkia leo Uwanja wa MetLife mjini East Rutherford, New Jersey, Marekani. Firmino alianza kufunga dakika ya 11 kabla ya kuangushwa kwenye boski na Neymar kufunga kwa penalti dakika ya 43 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIRMINO, NEYMAR WAFUNGA BRAZIL YAICHAPA MAREKANI 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top